-§- Zitto Kabwe anasema: Watanzania mnatushambulia sana Swiss, - TopicsExpress



          

-§- Zitto Kabwe anasema: Watanzania mnatushambulia sana Swiss, lakini watu wenu wana fedha nyingi zaidi London, Jersey, Cayman Islands, British Virgin Island na Mauritius Mmoja wa wenye mabenki aliponiwakia baada ya kumwuliza kuhusu Mabilioni ya Tanzania yaliyopo kwenye Benki za Uswiss Swali langu ni: 1. Je, kitendo cha mtu kuwa na fedha zake na kuzihifadhi katika mabenki ya nje ya nchi ni makosa? Kama ni makosa naomba kifungu cha sheria yoyote ya Tanzania inayokataza kuweka/kuhifadhi fedha katika mabenki ya nje ya nchi. Ahsante
Posted on: Sun, 27 Oct 2013 14:53:34 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015