40 politicians walipata ajali mbaya kwa forest mkulima mmoja - TopicsExpress



          

40 politicians walipata ajali mbaya kwa forest mkulima mmoja alikua akilima karibu na hio shamba alipoona hio accidentakaenda kuwahelp...baada ya kuwakagua wote akaamua kuchimba shimo na kuwazika wote pamoja. Baada ya muda, polisi waliwezakufika hio place kwa kuchelewa sana kama kawaida yao, walishangaa sanawalipofika nahawakuona hata maiti au majeruhi mmoja.... huko far mkulima alikua anawacheki tu so wale polisi wakamwendea na kumhoji nini kimetokea na mazungumzo yalikua hivi... POLISI: Hebu tueleze imekuaje hapa mbona kuna ajali na hakuna hata mwili mmoja au hata majeruhi kwani wameendawapi?? MKULIMA: nimewazika wote na shimo lenyewe lile pale (akionyeshea mahali alipowazika). POLISI: umewazika??..unahakika wote walikuwa wamekufa? MKULIMA: kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajakufa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote!!! . .
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 11:13:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015