Admin hide my name pls mimi ni msichana wa miaka 21 Naishi nyeri - TopicsExpress



          

Admin hide my name pls mimi ni msichana wa miaka 21 Naishi nyeri nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. Mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ... ya gari mwaka 2001 Mimi waliniacha nasoma shule ya msingi. Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujoin xecondary nikasoma hadi form 4 nikamaliza pia nikapass mtihani nikatakiwa kwenda kmtc, kabla sija enda shule nilibaatika kupata mchumba na akanipromyx kunisomesha. Nashukuru mungu alinisomesha hadi chuo kikuu na nimemaliza hadi sasa nimepata kazi yangu. Bt sahizi ninaelimu yangu siwezi kuishi na Huyu jamaa hata siku moja kwanza ajui kuvaa vipoa na pia hana elimu. Sasa nifanyeje kumwambia ukweli sijiskii na mimi siwezi kuishi na yeye bila kuumiza moyo wake ? LIKE HII PAGE HARAKA Abdiaziz photography
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 13:18:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015