Aman na upendo jambo kwa watanzania,nakuja kiuzalendo yakwangu - TopicsExpress



          

Aman na upendo jambo kwa watanzania,nakuja kiuzalendo yakwangu mpate ckia,n kwa faida yetu sote ya kwangu na kwako pia,majungu lawama xo dawa haitosaidia,serikal inapambana kujenga maisha bora,kwa kijana hata wazee watembelea bakora,demokrasia iko juu na changamoto za upinzan,ona maendeleo linganısha ya sasa na zaman,rais akisafiri,nchi hatupotez fedha,bali twapata misaada maisha mbele twasogeza,mfano fedha za bush,mashule na vyandarua,nenda zanzibar maralia yamekwisha sisem yamepungua,shule ya kata bado inapangwa mikakati,kutatua tatizo la walimu na madawati,baba yako alisoma chin ya mwembe ninaushuhuda leo waziri yatakwisha xo tupate muda...ah!@big name
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 08:30:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015