As/alykum! Je Unafikiri kingetokea nini? Endapo watu; - TopicsExpress



          

As/alykum! Je Unafikiri kingetokea nini? Endapo watu; Wangehangaikia ibada kama wanavyoihangaikia PESA, wakaogopa MOTO kama wanavyoogopa HASARA za biashara zao, Wakaheshim QUR-AN, kama wanavyoiheshim KATIBA ya NCHI, Wakamtambua MTUME S.A.W kama wanavyomtambua KIKWETE, Wakawathamin MASWAHABA,MASHEKHE, na MAIMAM Kama wanavyowathamin MABOSI na WAPENZI wao, wakatoa SADAKA kama wanavyotoa RUSHWA, Wakajitolea kukesha ktk IBADA km wanavyojitolea kukesha ktk ZINAA,BAR, au POOL TABLE!! Ewe muislam mwenzangu zinduka.
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 05:05:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015