Asante MUNGU, kwa kuniamsha salama, ninaamini wapo wenzangu - TopicsExpress



          

Asante MUNGU, kwa kuniamsha salama, ninaamini wapo wenzangu walikuwa wazima kama Mimi Jana usiku lakini asubuhi ya Leo wameamkia hospitalini na wengine vituo vya police na pengine mochwali kabisa. Lakini najiuliza Mimi ni nani hata unipendele kwa kiwango hiki? Nami naahidi sitaacha kukushukuru kwa kila jambo MUNGU WANGU. Naomba uwe mbele Yangu asubuhi ya Leo na unitangulie kwa Kila jambo jema nilifanyalo,zaidi ulinzi ktk mwili wangu,ndugu zangu,wazazi,jamaa Na marafiki zangu. SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO MUNGU.
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 04:35:44 +0000

Trending Topics




© 2015