BACHELORS NAO 1.ukienda kwake, ideally kila sufuria imekuwa ya - TopicsExpress



          

BACHELORS NAO 1.ukienda kwake, ideally kila sufuria imekuwa ya ugali, hehe lolz hatuna time ya kuosha sufuria, bt time ni mingi kuona Arsenal 2. Uwezi kosa Picha iko na line up ya Man u Ama Arsenal. Ukikosa hizo uwezi kosa pcha za Musician (hata ka ni ya gazeti) 3. Hehe socks ako na pair tatu, zote zinavaaliwa weekly, ikichafuka chini ya bed asap, style ile ukimpatia emergency visit utashangaa kama kuna sewage inaleak kwake! Hehe .MWANAUME NI KUNUKA 4. Chini ya bed hauwezi kosa vitu tatu either a packet of condom, chupa ya pombe ama socks chafu, hehe tafadhali mtusamehe 5.akikupatia date uwende kwake, walahi anangarishanga nyumba style ile ugali ikianguka chini haitashikwa na jerms! Very clean indeed. Ngoja mrembo aende, hehe ndio analipisha iyo hasira ya kungarisha hao! >> #Kondooh.
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 16:32:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015