BOYFRIEND/GIRLFRIEND ADVANCED TEST ukitaka kujua kama mpenzi wako - TopicsExpress



          

BOYFRIEND/GIRLFRIEND ADVANCED TEST ukitaka kujua kama mpenzi wako ni mwaminifu na sio mnafiki (REALISTIC) fanya hivii? 1. mtengeneze mazingira ya kuwa ana 10000TSH tu, wakati huo mama yake ni mgonjwa anahitaji 10000 ili apate operesheni la sivyo anaweza patwa na mauti 2. wakati huo, wewe mpenzi wake unatakiwa kufanya mtihani wa taifa na unatakiwa ulipe ada 10000 TSH tu, lasivyo itabidi uhairishe mithani hadi next year 3. mwulize Je? kati yako wewe na mama yake mzazi ni nani atakayempa hiyo elfu kumi? (mwambie kabisa haifai kugawa iyo ela, mpe option moja tu, ama ampe mama yake au akupe wewe mpenzi wake. KISHA NITUMIE MAJIBU ATAKAYOKUPA KWENY INBOX YANGU NAMI NITAKUPA MAJIBU. NB: JARIBIO HILI HALIHUSU WATU WALIO na NDOA halali ILA WALE WALIO KTK URAFIKI NA UCHUMBA TU. Wanandoa nitatoa test yenu endelea fuatilia hapa;
Posted on: Sat, 28 Sep 2013 17:25:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015