BUSTANI SHOW PAGE 1: KUMEPAMBAZUKA Vipiz wanaJeshi wa Bustani? - TopicsExpress



          

BUSTANI SHOW PAGE 1: KUMEPAMBAZUKA Vipiz wanaJeshi wa Bustani? Wiki yako ilikuwa vipi? Usiku wako u mtulivu? Kumekucha na kumepambazuka ndani ya Show kubwa ya Bustani ambapo tunajiunga na viumbe vya mbinguni kumtukuza na kumuabudu Muumba wa Mbingu na nchi-Mungu wetu asubuhi na Sabato ya leo. Sema nami sasa, kwenye Mic niite Arnold Argertta wa Argertta Communications 0717147782 ndo ya kwangu namba ya simu live kwa studio. I SALUTE YOU and HAPPY SABBATH
Posted on: Sat, 21 Sep 2013 02:09:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015