Boss alitaka amgonge secretari wake kimoja cha fasta ofisini, - TopicsExpress



          

Boss alitaka amgonge secretari wake kimoja cha fasta ofisini, kisha ampe 2,000.....Secretari akagoma! Boss: Nitafanya fasta darling, nitaweka pesa sakafuni wewe ukiinama tu kuokota mi ntakuwa nimemaliza. Secretari akaamua aoembe ushauri kwa mchumba wake, Mchumba akamwambia USIACHE Pesa dear! Mwambie atoe 5,000 kisha okota fasta kabla hajavua...ukishachukua niambie. Ikapita dakika 45 KIMYA....Jamaa akaamua kumpigia simu, secretari akajibu huku akihema, "Hata ndio tuko katikati, huyu mshenzi kaweka 5,000 lakini ni coin za shilingi kumi tupu!"
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 04:20:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015