Buda fulani akitembea Anapatwa na kiu..Inabidi abishe mlango - TopicsExpress



          

Buda fulani akitembea Anapatwa na kiu..Inabidi abishe mlango ilikuwa karibu aombe maji..Akaletewa maziwa akiendelea kunywa akauliza mtoi mbona mnapeana maziwa kwa wingi hivyo? Mtoto akamjibu panya alifia ndani ya hayo maziwa na hakuna anayetaka kuyanywa..Buda akapatwa na wasiwasi na kwa bahati mbaya glass ikaanguka na kuvunjika... Mtoto akaanza kpiga kelele akiambia mamaye glass ya nyanya ya kutemea mate imevunjwa....Ingekuwa wewe ungefanya??? #MUTURA
Posted on: Sat, 03 Aug 2013 06:18:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015