Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kila Mwanaume unayempata - TopicsExpress



          

Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kila Mwanaume unayempata na kusema neno I LOVE YOU kwako muangalie kwa makini sana...Wengi walitamani kusema I LOVE IT lakini wanaogopa wakiisema kama ilivyo watakukosa maana wataonekana walafi wa kipochi,kwa hiyo wanaanza na I love You halafu baadae ndo watajifanya sasa wanakiomba kile Original kilichowafanya waje kwako...Kilee pale!Kila Uhusiano ulioingia WAMEKIFUNUA,WAKAKISANUA,WAKAPOTEA...Ni Mpaka utakapojifunza kwamba Una Hazina ya Thamani na sio kwa kila mtu ila kwa Mtu Maalum...Wewe unagawa hazina,mtu maalum akija anakuta makombo..Sio Makombo Physically lakini Used ni Used tu hata ipakwe rangi!Kipochi Manyoya ndio Hazina yako..Ndio Urithi wako..Ndio Nguvu yako Msichana...Ukishakitoa tu kwa mtu na Power yako inapotea,He rules over you from there onwards na ataamua lolote,huna jipya,hazina yako kashaiona..Utamfanya nini wakati tayari???Ukielewa Power uliyonayo kwenye hicho Kipochi hutakubali kugawa tu..Utakiweka kwa mtu anayestahili..Kitunze kama Nyusi zinavyotunza jicho dhidi ya Vumbi...Hii style yako ya Juma Mpe...Kennedy Mpe...Almasi Mpe...Morgan Mpe tu...Wanafunua Wanaweka Waaahh ndio inayoku-cost..Ukijifunza kusema NO utaona tofauti katika Relationship yako.ONLY SERIOUS MEN CAN WAIT!Kwa jinsi unavyogawa itafikia mahali itakuwa sio Sehemu za Siri tena bali imegeuka Public Transport kila aliye Kituoni ana access ya kupanda
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 06:54:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015