Dah! Hv marafiki nikiingia studio na kitumia beat ya Kalla - TopicsExpress



          

Dah! Hv marafiki nikiingia studio na kitumia beat ya Kalla Jeremiah "Dear God" sitatoka kweli? Hebu soma hii mistari; Asante godoro leo ni ucku mwengine, Nakuja kitandani na usingiz mwengine. C unacheki sijalala kama wa2 wengine. Wengine wamelala na kuota ndoto zengine, mimi macho kodo kama popo wengine, Nalala sana ndoto wanaota wengine,, Wengine wanasema ninunue godolo lengine, Ila hapana hili c kama godolo lengine, nimenunua mwenyewe c m2 mwengine. Cwez kuliacha kama lile lengine, Mwisho nilale salama kama wa2 wengine, Ila nisikorome kama huyu mwengine,, AMEN! USIKU MWEMA™
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 19:51:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015