Do you know how internet companies do business and generate - TopicsExpress



          

Do you know how internet companies do business and generate profit?? kwa mfano how is Facebook owners get profit...?? unajua sisi tunatumia tu facebook free but there are some people enjoying profits for our free using ...do you know how??? This is how they make profits…. It’s like this, kwa mfano...ukiingia google then ukaanza kusearch facebook, google anamchaji FB owner and then FB yeye anamchaji internet provider wako..eg airtel, voda..etc... do you get me there...??? kwa hiyo kuna kampuni inaitwa Perfect Internet......this company is incorporated in USA and I have their certificate of incorporation to prove its existence click here perfectinter.net/... ...wao ambacho wamefanya ni kulipa watu ambao wanatumia application yao...how....??go on reading.... So what the perfect application company has designed is that it has organized all the icons for searching various internets eg. google..FB, Yahoo, twitter...et.c then once you have opened that application and then you use those icons to search the website you want eg Google...the Perfect internet company charges google...FB...yahoo...etc.... uko hapo???? kwa hiyo wewe utakapo jiunga means that you will be using that application and the more people you invite means that they will also be using that application, hence Perfect internet company will increase more profit as more users are using that application...hence it is from these profits they are distributing to users (loyal members) who have helped them making more and more profits via using their application to search other websites..... Kwa msomi yeyote naamini hadi hapo ameelewa vizuri kabisa… haihitaji PhD kuelewa hii concept….. Kujiunga ni free kabisa, wala huhitaji kuingiza details zako za kibenk ili kulipwa, walichokifanya wamedesign members area where you can login and update your details, halafu wanakutumia MASTERCARD ambayo wewe utaitumia kuchukulia fedha kwenye ATM yoyote ULIMWENGUNI KOTE….na MasterCard wanakutumia baada ya kufikisha balance ya $50. Maelezo ya Kazi: Kutumia Perfect App kama una laptop au desktop au kualika watu wengine watumie Perfect App kwenye kipindi hiki cha majaribio kitakachodumu mpaka 28th February 2014. Hata kama huna laptop au desktop au simu wewe jiunge tu na uwaalike watu wengine wafanye hivyo kwani wakianza kutumia hii Perfect App na wewe utalipwa pia. Vilevile mda si mrefu Perfect App itaweza kutumika kwenye simu zetu za mkononi hata kama simu yako sio smart phone. Kujua Perfect App ni nini sikiliza video hii youtube/watch?v=Zg1NbokGXAo&feature=player_embedded Sifa: Hakuna elimu yoyote rasmi inayohitajika zaidi ya kuwaalika watu wengine ili na wao waweze kushiriki kwenye kipindi hiki cha majaribio ya Perfect Internet. Umri: Kuanzia miaka 14 na kuendelea Mshahara: Kila lisaa limoja la kuitumia hii Perfect App utalipwa $0.01 kwa mwezi huu wa October 2013 na kiwango hiki cha malipo kwa saa kitakuwa kinaongezeka mwezi baada ya mwezi kadri watumiaji wa hii App ya bure watakavyokuwa wanaongezeka. Vilevile utalipwa kila lisaa limoja la matumizi ya hii Perfect App na watu uliowaalika na wale walioalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini. Kwa mfano kama ukialika watu 20 na hao uliowaalika wakaalika watu 20 kwa miongo mitano kwenda chini basi utakuwa na jumla ya idadi ya watu 3,368,420. Tuchukulie kwamba kila mtu katika hawa katumia Perfect App kwa lisaa limoja tu katika mwezi fulani. Kwa kiwango cha sasa cha $0.01 kwa lisaa limoja, ina maana utapata $33,664.2 kwa mwezi huo. Jinsi ya Kulipwa: Malipo yatafanyika kwa kutumia Debit Card za kimataifa za Perfect Internet ambazo zitakuwezesha kuchota pesa kwenye ATM mashine yoyote ile hapa duniani ambayo imeunganishwa na mtandao wa VISA kwa mfano ATMs za CRDB, Citibank, n.k. Habari za Debit Card yako, Cash Factors zako, kiungo chako maalum kwa ajili ya kualikia watu ili wajiunge kupitia kwako, wanachama waliojiunga kupitia kwako na sehemu ya kuripoti tatizo lolote uliloligundua wakati unatumia Perfect App vyote hivyo utavipata kwenye ofisi yako mahsusi ya hewani mara baada ya kujiunga na fursa hii. Siku ya Malipo: Malipo yatakuwa siku ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata mwezi wa matumizi ya Perfect Internet. Kwa mfano malipo kwa matumizi ya Perfect Internet kwa mwezi wa October 2013 yatalipwa 15/11/2013. Kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe umepata angalau $50 ili malipo yaweze kufanyika. $25 ni gharama ya Debit Card na $25 ni kiwango cha chini kabisa ampapo Perfect Internet wanaweza kuweka Pesa ndani ya ATM Malipo baada ya kipindi cha majaribio kwisha: Utaendelea kulipwa baada ya tarehe 28/02/2014 kwa kila lisaa utakalokuwa umetumia hii Perfect App na kwa kila lisaa la watu uliowaalika na wale walioalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini.. Na maelezo zaidi ya uhalisia wa kampuni huu hapa….. Founded: 09/26/2011 in Oregon, USA Registered Office: 391 NW 179th Ave Beaverton, OR 97006, USA Administration: 7251 W Lake Mead Blvd. Las Vegas, NV 89128, USA Registration #: 802159-90 Tax ID: 45-4245503 Authorized Capital: US$6,000,000,000 Main Investors: GIT Europe Ltd. Internet Investments Inc. Internet Global Value Inc. Perfect Internet COP 2012 Ltd. Perfect Internet COP 2013 Ltd. Subcompanies: Marathon Media Group Inc. Most Famous, Inc. Perfect App, Inc. Perfect Payments, Inc. Prize Mania Ltd. Shobbit Inc. Wazzub Charity Funds (Non-Profit) Wazzub Inc. YueXin Internet Design IPO: Planned for Q4/2014 Contact: investorrelations[at]perfectinter.net Kama kweli umeelewa basi jiunge na wewe ufaidike kwa kupitia link ifuatayo…… perfectapp.biz/?refid=87a25dec12
Posted on: Tue, 22 Oct 2013 07:18:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015