Finally back after the unfortunate my fb accounting hack - TopicsExpress



          

Finally back after the unfortunate my fb accounting hack incidence. Gave me a lesson, wait a minute not about computer/network haking incidences(thats my are of working) but on how some of us are/or can become very arrogant. Kuna watu wamepost bila kufikiri mara mbili (kumbuka wahenga wanasema kabla hujaongea/andika fikiri) Kuwa hii inaweza kuwa senario gani? Kwa wale wanaonifahamu mimi nisingeweza kuwa mtu wa ku-post vitu vya kijinga kama vile. Hata hivyo kwa wale wenye uelewa mzuri pia walisita sana kuamini kuwa huyo alikuwa ndiye mimi. Nimesikitishwa na wale waliporomosha matusi (sometimes ya nguoni) huku wakijiita wasomi. Wengine naamini walikuwa na other personal contacts zangu (kama no. ya simu au e-mail) ingekuwa rahisi kwao as good friends or old friends for that matter kuni contact na kunipatia taarifa. Of all the people unfortunately only one contacted me by my mobile number mchana huo and some few others via facebook walielewa. Ukweli ni kuwa wakati account yangu imekuwa hacked sikuwa na internet access, hivyo basi sikuwa aware na abuse iliyokuwa inaeendelea. Finally nashauri, next time tunapoona mambo hayaendi kama ambavyo tunategemea, tufanye kwanza tafakuri kabla ya sisi wenyewe kujionyesha how IDIOTS we are. Mwisho kabisa nawaombeni wote waliokwazika na incidence hii radhi (kwa mara nyingine tena) usumbufu ambao utakuwa umewapata. Lets move on. Jioni njema wote. Have a nice day.
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 16:25:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015