Gari iliyokuwa imebeba Pombe kwa wanajeshi wa - TopicsExpress



          

Gari iliyokuwa imebeba Pombe kwa wanajeshi wa Ethiopia yakamatwa na kutiwa moto. Habari kutoka mkoani Baay zinaeleza kuwa Vikosi vya Usalama wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imewatia mikononi watu na Gari iliyokuwa imebeba Vinjwaji vya Kulevya Pombe kwa wanajeshi wa Ethiopia waliopo maeneo moja wapo ya miji ya mkoa huo. Vikosi vya Usalama wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wanaojulikana Kikosi cha Hisba walifanya Doria katika barabara zinazounganisha Bardaale na Wilaya ya Luuq wamefanikiwa kukamata Gari ya mzigo iliyokuwa imewabebea Vinwaji haramu vya Pombe kwa Wanajeshi wa Ethiopia ambapo kwa kawaida hutumika nchini Ethiopia. Gari hiyo iliyokuwa imewabebea Vinywaji hivyo ilikuwa ikiendeshwa na Raia wa Kisomali waliokuwa wamepewa Pesa kwajili ya kubeba vinywaji hivyo iliyopigwa Marufuku,Katika Uwanja uliopo mji wa Dinsoor Mkoani Baay mamia ya watu walijitokeza na kushuhudia Uchomaji wa Chupa hizo za Pombe pamoja na Gari iliyokuwa imebeba. Maofisa wa Kislaam waliokuwepo kwenye Uwanja huo wamewaambia vyombo vya Habari kuwa watawashugulikia Gari yeyote itakayo kamatwa ikiwa imebeba Dawa za Kulevya,Miraa,Pombe na Sigara ambapo kwa muda wa zaidi ya Mwaka ulishapigwa marufuku kwenye Wilayati zote za Kislaam ambayo Sheria za Allah zimesimamishwa. Ni Mara ya Kwanza kukamatwa Gari iliyokuwa imebeba Pombe kwa Wanajeshi wa Ethiopia waliofanya Uvamizi wa Msalaba katika Ardhi ya Somalia.
Posted on: Mon, 18 Nov 2013 11:48:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015