HABARI KUU ASUBUHI LEO Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa - TopicsExpress



          

HABARI KUU ASUBUHI LEO Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa wale wanaoitishia Tanzania. Amewaambia wakithubutu watakiona cha mtemakuni kama ilivyokuwa kwa Idd Amin wa Uganda. Alisema mamlaka za ulinzi na usalama zilimdhibiti Amin alipofanya uvamizi katika ardhi ya Tanzania mwaka 1978 na kwamba hazitashindwa kufanya hivyo kwa mtu mwingine yeyote atakayechezea usalama wa nchi. UNA MAONI GANI KUHUSU SIKU HII YA MASHUJAA
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 03:43:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015