HII NDIO YANGA....FURAHI DAY......!! TUONANE KESHO TAIFA KUPATA - TopicsExpress



          

HII NDIO YANGA....FURAHI DAY......!! TUONANE KESHO TAIFA KUPATA CONI. KAMATI YAPITIA USAJILI, NGASA KUCHEZEA YANGA* Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na kumuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu ya Yanga baada ya kukamilisha usajili wake. Hata hivyo, Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Alex Mgongolwa imebaini kuwa Ngasa alisaini mkataba mwingine Simba (katika kipindi ambacho alikuwa na mkataba na Azam) ambapo anatakiwa kurejesha fedha alizopokea (sh. milioni 30) pamoja na fidia ya asilimia 50 (sh. milioni 15) ya fedha hizo kwa Simba.
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 12:34:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015