HII NDIYO MIKATABA MINNE ILIYOTIWA SAINI NA SERIKALI YA TANZANIA - TopicsExpress



          

HII NDIYO MIKATABA MINNE ILIYOTIWA SAINI NA SERIKALI YA TANZANIA NA THAILAND JUZI IKULU. Tanzania na Thailand, zasaini mikataba minne, mmoja ya mikataba hiyo unahusisha kuhamasisha na kulinda uwekezaji. Mikataba mingine inahusu kuhamisha wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, ushirikiano wakiufundi pamoja na ushirikiano baina ya Wizara ya Nishati na Madini na Taasisi ya Umma ya Gem and Jouely ya Thailand.
Posted on: Thu, 01 Aug 2013 06:59:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015