HONESTLY WANAUME MSHAWAI REALIZE Day 1 Unacheki kadem - TopicsExpress



          

HONESTLY WANAUME MSHAWAI REALIZE Day 1 Unacheki kadem kameiva, unakasalimia kanalenga ... Una try ku make a move, kana ku shut down immediately! 2months later Kamechapa ile mbaya hadi badala umsalimie yeye ndo anakusalimia... Kamekua kapole hadi kana nyenyekea. Ukikauliza kitu kana kujibu na heshima ni kama wewe ni babake... Saahizo hata appetite yenye ulikua nayo kwake imeisha kapsaa hadi unajiuliza sasa nlikua nimeona nini kwa hiki kigunia? Nkt!
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 18:20:13 +0000

Trending Topics




© 2015