HONGERA KWA VINGOZI WETU KWA UAMUZI MGUMU. Nafikiri hili jambo - TopicsExpress



          

HONGERA KWA VINGOZI WETU KWA UAMUZI MGUMU. Nafikiri hili jambo lilitakiwa kufanyika siku nyingi,,,naona tumechelewa ingawa pia SI VIBAYA kwa maamuzi haya pamoja na kuchelewa kwetu. Pia ni wakati wa Zitto sasa kujitathimini na kuangalia namna ya kuendelea na siasa huku kizingatia umuhimu na ulazima wa CHADEMA kushinda UCHAGUZI ujao, kinyume chake hatua ya kuvuliwa UANACHAMA itabidi kuchukuliwa bila kufanya AJIZI. Kwa MAAMUZI haya, Mbowe amefanikiwa kujipandishia IMANI ambayo mimi binafsi nilianza kuiona inashuka. Kiongozi ni pamoja na kufanya au kuchukua MAAMUZI haijalishi kama hayo MAAMUZI yatakugharimu. Mungu Ibariki CHADEMA na VIONGOZI WAKE. Njano5. 0784845394
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 05:17:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015