Habari njema:Sasa idhaa ya kiswahili sauti ya jamhuri ya kiislamu - TopicsExpress



          

Habari njema:Sasa idhaa ya kiswahili sauti ya jamhuri ya kiislamu ya Iran inasikika katika mobile. Tembelea kiswahili.irib.ir Kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa irib mobile. Matangazo ya live asubuhi saa moja kamili hadi saa mbili kamili kwa saa za afrika mashariki. Mchana saa tano na nusu hadi sita na nusu kwa saa za afrika mashariki. Usiku saa mbili na nusu hadi tatu na nusu kwa saa za afrika mashariki.Wakaazi wa tanga wanaweza kutegea sikio matangazo ya idhaa ya kiswahili ya radio iran kupitia maarifa fm kwenye 105.3Zanzibar pia wanaweza kusikiliza radio iran kupitia 104.9 adhana fmBujumbura 88.2 kupitia radio culture na 99.9 mikoani na katika mipaka ya nchi jirani na burundi kupitiaa radio hiyo hiyo ya culture.Pata habari za uhakika kupitia radio iran sauti ya Iran.Usiache kumjuza mwenzio.
Posted on: Sun, 15 Sep 2013 21:53:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015