Hahahahaaaaa dah! Jamaa tukiongelea madini anadai...yeye - TopicsExpress



          

Hahahahaaaaa dah! Jamaa tukiongelea madini anadai...yeye alishawahi kuwa apollo kitambo inshu za uchimbajia anazijua.... tukiongelea kilimo cha alzeti dodoma...anadai kitambo alishafanya biashara ya alizeti na nini na nini duh..... siku tukiongelea inshu za vipimo feki....anadai kitambo alishwahi kuwa maabara akagundua hiki na kile.... sawaaa...tunazungumzia inshu ya obama...jamaa anatia kitambo alishawahi kuwa usalama wa taifa akaona hatari tu akasepa.....daaah mambo ya kitambo haya mi hooooi...yeye kitambo alikuwa katika kila sekta... halafu ahapo ana 29 tu!
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 12:09:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015