Hakuna kitu tamu hii dunia kama dem akikatia chali. Yaani saa hizo - TopicsExpress



          

Hakuna kitu tamu hii dunia kama dem akikatia chali. Yaani saa hizo ndo chali hujifanya hataki stori za dem mpaka unaeza mwignore mkipatana tao. Kadem nako saa hizo kanakusooth kakikushow tu vile kanakupenda na hakaezi ishi bila wewe..apo ndo mwanaume hujifanya ameboeka nako anajifanya amejam..dem wa wenyewe anaanza kulia, mwanaume anasmile ndani ndani lakini utamu yenye anaskia ikiteremkia kwa spinal chord haielezeki. Ukikashow unakapenda pia manze unapigwa munju ingine hutaai sahau. Madem tafasali..do us a favour na mwendelee kutukatia msife moyo. #somi
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 17:33:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015