Hata nchi zinazoaminika zina amani, sio kweli, hazina amani ya - TopicsExpress



          

Hata nchi zinazoaminika zina amani, sio kweli, hazina amani ya kweli, kuna ukosefu wa haki uliokithiri mipaka, na huku ulimwengu ukijua nchi ile kuna amani. Lakini si kwamba watu wake hawajui haki zao, na sio kwamba hawajui vitendo viovu vinavyotendeka kuwanyima haki zao, la hasha wanajua wananyamaza tu kuepusha shari. Many countries, seem to be in peace, are not in true peace, there are lots of injustice, at the same time the world think that it is a peace country. Is not that her people dont know their rights, and is not that people dont notice the so called over injustice in their country, no they notice but they remain silent to avoid clashes Tanti paese che pensiamo che vivono in pace, non e vero, non ce vero pace. Ce injusticia enorme, nello steso momento il mondo pensano che ce pace. Ma non e che suo popolo non sano il loro dirito, e non e che non sanno tute li injusticia che ce in paese, no, lo sanno tuto ma chiudono il beco per non causare la Guerra fra di loro.
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 00:23:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015