Hatuwa iliyotukuliwa na Mombasa governor Hassan joho niyakidhulma - TopicsExpress



          

Hatuwa iliyotukuliwa na Mombasa governor Hassan joho niyakidhulma na unyonge sana kwa wafuta kazi wa fanyaji kazi wa baraza la Mombasa. Ni nani atakaye kubali kufanya kazi kisha ikifika wakati wa malipo usubiri na huku watoto nyumbani wana kufa na nja? Baraza la Mombasa lina daiwa karibu ksh million 500 na KRA je bwana governor umeshataka kujuwa hizo pesa zimepoteya vipi? Nusu ya rasli Mali ya municipal zime dhahifiwa je umeshataka kujuwa? Ikiwa wafanyaji kazi wa baraza hawafanyi kazi inavyotakikana wameiga mfano kwa wakubwa je umeshataka kujuwa? Ikiwa umemwanjika mshungaji achunge mbuzi kisha hao mbuzi wameingia kwa shamba la jirani na kula mahindi yote je utawachinja hao mbuzi wote au utamfuta kazi ule mshungaji ??? Basi huu ndio ni mfano wa municipal ya Mombasa na wanyonge wenye kurauka kila asubuhi kuwatafutua watoto wao Chakula ambao wengine wamelala na njaa fimbo ya Mungu haina haraka kumchapa mwanadamu.
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 08:19:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015