Haya Hapa Ni Majina ya Mibabe ya Kivita Matajiri Ambao Walikuwa na - TopicsExpress



          

Haya Hapa Ni Majina ya Mibabe ya Kivita Matajiri Ambao Walikuwa na Pesa Dhahabu{Gold} Almasi{Diamond} lakini ICC Iliwakamata hata wengine wakifia Jela 1.FONDE SANKO -Sierre Leone 2.Slobodan Milosovic -Former Yugosilavia 3.Charles Taylor-Liberia {Blood Diamond &Gold } 4.Piere Bemba -DRC North Kivu {Gold 100% pure } 5.Gaddafis Son {Oil} Ambao wanasakwa 1. Joseph Kony -Uganda 2.Ali Bashir Sudan kama hawa Mibabe yote hii ilkuwa na pesa kama mchanga wa Bahari na madini lkn wengine wamefia jela wengine wanakunyia kwenye debe na umaarufu wao je Mhe Uhuru Kenyatta na Mhe William Ruto wataepuka mdomo wa Mamba kweli? Je Mnakumbuka haya Maneno "DONT BE VAGUE HAGUE IZ THE SOLUTION" Msiba wa kujitakia hauna kilio..!!!
Posted on: Mon, 12 Aug 2013 10:09:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015