Hebu nisaidieni hesabu hyo,kuna jamaa mmoja alikuwa anashida ya sh - TopicsExpress



          

Hebu nisaidieni hesabu hyo,kuna jamaa mmoja alikuwa anashida ya sh elfu kumi,akakopa kwa dadaye 5000 na kakaye 5000 akaenda kununua bidhaa za 9700 ikabaki 300 akaamua kupunguza deni kwa kaka 100 na dada yake 100hvyo kwa dada akabaki na deni la 4900 na dada 4900 ukichanganya deni linakuwa 9800 ukichanganya na 100 aliobakia nayo ni 9900 SWALI SH MIA MOJA NYINGNE ITAKUWA IMEPOTELEA WAPI ILI ITIMIE 10000
Posted on: Mon, 12 Aug 2013 17:56:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015