Hi admin, naitwa Kenedy the remedy. Nakuwaga na dem ambaye huwork - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Kenedy the remedy. Nakuwaga na dem ambaye huwork kwa media house moja hapa Kenya. Nimemeet beste wake na ni msupa zaidi yake na mbali sana. Nakuwaga nimemfeel sana na nikamwingiza box nikapata nayeye nikaa alikuwa amenifeel mbaya. Nimekuwa namlungula kila weekend na dem wangu hajawahi jua. Hii weekendi imepita dem wangu alinishow anaenda place kugotea marela na nikashow beste wake adanganye chali wake anaenda place so akakuja nikakuta vitu. Nikimzindikisha nikapitia njia iko karibu na kwa manzi wangu nikaona dirisha imefunguliwa nikajua baas, siz wake ameachwa solo so nikapitia hapo na nikachungulia kwa dirisha weee! Nikaona dem wangu amevaa baika na chali wa yule dem nimekula anazidi kumkiss akiwa bila shati. Sikuambia huyo dem na nikarudi home. Mpaka saa hii manzi wangu anadhani sikujua. Mazee nashindwa vile naeza fanya, Je nichape dem ama huyo boy?
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 19:03:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015