Hi admin, naitwa Maria kutoka Mlango Kubwa.Huwa naunda sabuni ya - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Maria kutoka Mlango Kubwa.Huwa naunda sabuni ya detergent na natembeza kuuza as a way of earning living. Saa kuna huyu mzee huwa mdosi sana huwa ameninoki ile mbaya. Ananiitishaga sabuni ya lita tano daily na anaibuy na double price. Amenisakia macustomers wengine mabeste zake ambao huwa nawaundia mpaka harpic na wanabuy na double price so wamekuwa a blessing to my biashara. Saa huyu mzee huwa ananikatia bt nashindwa kukataa coz i need him as my customer na mabeste zake pia. Amenikaza zaidi mpaka sasa nashindwa kuendelea kumzungusha. Ananishow atanipea ploti na anifungulie biz kubwa sana nikimkubali. He is married na nashindwa kama nikubali ama nikatae? Pliz advise
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 06:07:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015