Hi admin, naitwa Sabina na niko na chali anaitwa Jose. Tulimeet - TopicsExpress



          

Hi admin, naitwa Sabina na niko na chali anaitwa Jose. Tulimeet UON na akanikatia nikaingiana. Alikuwaga na pesa mob sana mpaka anadress vinoma mpaka mablingbling na magari anaexchange vile anataka. Akanishow anawork kwa bank na anakuwaga na pesa so i was damn sure nimeangukia boy mdosi sana coz alinishow anaishi runda. Kuona hivi, nikaamua kumshika na nikawacha akaniweka ball. Tumemada last year na last week ndio amenikujia akanipeleka kwake. Nilishangaa tukiingia Kibera na aliposimamisha gari tukaingia kwa kakeja ka mabati. Kidogo, mwenye gari akakujia na wenye maclads wakakujia. Mazee kumbe msee anauzaga mutura hapa kibich na sikuwahi jua. Sasa nashindwa hata kujielewa coz niko na ball na nilihepa home nikaolewa. Niko na ball kubwa sana na msee nikimuuliza ananishow lazima dem adanganywe na mwanaume ndio awekwe box so nitulie tusake mali pamoja. Mazee mimi nataka mwenye ako na mali na sijui what to do, pliz advise
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 08:27:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015