Hi admin, pliz hide my name coz nikijulikana inaweza fanya nihate - TopicsExpress



          

Hi admin, pliz hide my name coz nikijulikana inaweza fanya nihate job ile nimeapply coz ya kitu nataka kureveal. Nimeapply kazi kwa one of the leading media houses na mdosi wao anataka kulala na mimi ndio anipee kazi infact nimsee anasomaga news na ni famous sana nikimtaja kila msee atamjua. Nikweli nimeumbwa poa bt nashangaa coz ni mtu ako na familia. Alianza kwa kunialika dinner na ndipo aliniambilia haya. Funny thing ni vile ananipea masharti. Anadai tukitumia condom atanifanya reporter wa kawaida bt tukiifanya nyama kwa nyama atanifanya mtu senior sana mpaka nitapenda. Yes, im ready kulala nayeye nipate job bt nashindwa kama nitumie condom ama bila? Pliz mafans naomba mniadvise coz i need this job sana. Thanks in advance
Posted on: Sun, 11 Aug 2013 16:24:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015