Hii imetokea hapo Manzese Jijini Dar es salaam. dogo mmoja umri - TopicsExpress



          

Hii imetokea hapo Manzese Jijini Dar es salaam. dogo mmoja umri 12, awaacha watu midomo wazi ni baada ya kuingia club na kuagiza bia aina ya "kilimanjaro" kama vyupa 11. Kimbembe ni pale waiter anapo kuja na kuhitaji malipo. Mara dogo kazama mfukoni na kuchomoa bango la Kilimanjaro ambalo chini limeandikwa kwa maandishi makubwa. "ONYO HAIUZWI KWA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 18" (Hii ikiwa na maana wanapewa bure) Kama wewe ndo waiter ungefanyaje???
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 12:10:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015