Hivi lini umeme ulishawahi kuwa bei rahisi hapa Tanzania?? Huyu - TopicsExpress



          

Hivi lini umeme ulishawahi kuwa bei rahisi hapa Tanzania?? Huyu mrembo Badra Masoud via Malumbano ya Hoja ITV, anasema kuwa umeme wa maji ulikuwa bei rahisi, hivyo akina IPTL, SIMBYON na makampuni mengine yanayouza umeme yanauza bei ghali.... Sasa kama umeme wa maji ulikuwa bei rahisi, mbona watanazania walishindwa kuweka umeme majumbani kwao?.... hapo anamjibu mdau kwa nini kuna monopoly kwenye uzalishaji wa umeme... Labda na sisi tuanze malumbano hapa....
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 19:31:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015