Imagine messages za M-PESA zingekuwa zikikuja kighetto stylo.. - TopicsExpress



          

Imagine messages za M-PESA zingekuwa zikikuja kighetto stylo.. ungepata sms kama hizi. DM75EC927 Hii story imeconfirmiwa. Umerecieve brambo mbao soo basa (Ksh20,700.00) from Tagawah 254722838877 on 23/5/13 githaa ya 01:30 maafteh. M-PESA balance yako pyamu ni brambo njere soo basa na tujongo tutatu (Ksh.20,703.00) . Kuna hii vako ya kusave na kuget kiloan kwa ile form ya Mshwari... . Thanx joh kwa ku-use Saf the Mambo biyad Option · . Na ya okoa jahazi je? Buda ii stori haileti shangwe, una2lenga sana, lipa deni yako ya okoa jahazi, kinde (KSH.10) by kesho ngware. Hakuna mbrrrcha! .
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 10:15:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015