JE? INGEKUWA WEWE UNGEFANYA JE! Demu wako kaenda - TopicsExpress



          

JE? INGEKUWA WEWE UNGEFANYA JE! Demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae kwasababu alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni sugar mumy wako na ndo aliokununulia gari ambalo unatamba nalo kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambae ni wakili alie kutetea katika kesi yako ya ubakaji Je? Ungefanyaje?
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 16:37:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015