Jamani kwa mara nyingine tena,nawakumbusha wale wadau wa elimu - TopicsExpress



          

Jamani kwa mara nyingine tena,nawakumbusha wale wadau wa elimu kuwa kuna chuo kizuri sana kinaitwa ROYAL COLLEGE OF TANZANIA,kimefungua Campus nyingine Njombe.Ni kizuri kwa sababu kimelenga kuwasaidia wale wote waliowahi kufanya mtihani wa kidato cha nne lakini hawakuweza kufaulu kabisa.Kinachohitajika kutoka kwao ni leaving certificate tu ili wasome kozi inayoitwa BRIDGING COURSE itakayowawezesha kufanya kozi ya ngazi ya cheti mara baada ya kufaulu BRIDGING COURSE.Mwambie na mwingine kwa kuwa chuo hiki kimelenga kusaidia watu wengi ambao tunafahamu wamekata tamaa kuendelea kielimu.Piga 0757717572 kwa mawasiliano zaidi
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 09:23:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015