Jambo, ungana na Dinah Gahamanyi katika AMKA NA BBC ambapo - TopicsExpress



          

Jambo, ungana na Dinah Gahamanyi katika AMKA NA BBC ambapo miongoni mwa yale tuliyokuandalia leo ni pamoja na: Kamati ya Seneti Marekani kumpa ruhusa rais kuamuru vita dhidi ya Syria kutokana na madai kuwa ilitumia silaha za kemikali katika shambulio la Damuscus. unadhani ruhusa hii inafaa? Wakuu wa mataifa 12 ya Afrika wakutana kampala kujadili mzozo wa DRC . Na Bunge la Kenya leo lajadili muswada wa kujitenga na mahakama ya ICC. Tutasikia kutoka kwa wanasheria. Tutumie maoni yako kuhusu taarifa hizi na nyinginezo kupitia ukurasa huu. Shukran
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 02:35:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015