Jana kuna msee alikua anatoka na jasho mob na alikua na panga kali - TopicsExpress



          

Jana kuna msee alikua anatoka na jasho mob na alikua na panga kali kwa mkono akaingia kwa mosque akaanza kuwauliza, nani ni muislam hapa?wote wakatia zii wakanyamaza,akauliza tena, jamani nani ni muislamu hapa?watu wakaendelea kulenga tu wakatia zii,akamchukua mmoja wao alikuwa amekaa mlangoni akatoka na yeye nje,kufika nje akamshow, pole mzee wangu kwa kukusumbua lakini naomba unichinjie mbuzi wangu, yule mzee akakubali akamchinja yule mbuzi,kisha akamwambia mi sijui kutoa ngozi labda urudi tena msikitini, jamaa huku panga likiwa limejaa damu mob akarudi kwa mosque, jamani nani muislamu hapa? wakamuonyesha Imam ,Imam akaanza kujitetea, "Aah jamani yaani mie kuswalisha ibada leo 2 ndo nimeshakuwa muislamu!!!"
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 13:03:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015