Je, Unajua? - 344... Bismillahi Rahmani Rahiym.. Ewe ndugu - TopicsExpress



          

Je, Unajua? - 344... Bismillahi Rahmani Rahiym.. Ewe ndugu Muislamu ambaye Swalaah za fardhi zinakupita au ukazichelewesha Swalaah zako bila ya sababu, mpaka lini utakuwa katika kughafilika? Haukushituka moyo wako kwa kitisho kama hiki cha Mola wako? Haushituki kusikia maneno ya Allaah: ((Basi, ole wao wanaoswali)) ((Ambao wanapuuza Swalaah zao)) [Al-Maauun :4-5... Ee Muislamu uliyeuweka moyo wako ukawa mbali na dhikr (utajo na ukumbusho wa Allaah سبحانه وتعالى) na ukaihama Qur-aan, mpaka lini utakuwa katika kughafilika?
Posted on: Sun, 20 Oct 2013 12:29:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015