Je wajua kama kuna watu waliokwenda America hata kabla ya - TopicsExpress



          

Je wajua kama kuna watu waliokwenda America hata kabla ya christopher columbas? kutoka Afrika kuna jamaa alikuwa anaitwa Abubakal the second kwa dat time alikuwa ni mfalme wa Mali yeye alitaka kujua maji ya Atrantic ocean yanaishia wapi?....ikabidi awaageze wanajeshi wake watengeneze mashua ili aweze kwenda nao na aliondoka yeye na baadhi ya jeshi lake ili wamlinde na kumuachia inchi Manssa kankan Musa karne ya 13
Posted on: Sat, 21 Sep 2013 06:52:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015