“Jiungamanishe na kutembea na watu wenye sifa njema kama - TopicsExpress



          

“Jiungamanishe na kutembea na watu wenye sifa njema kama unapenda kuendelea kuwa na sifa njema. Kwani ni bora uwe peke yako kuliko kuwa na marafiki wabaya. Uwe na upendo kwa wote,lakini uwe na ukaribu na wachache; na hao wachache wajaribiwe vizuri kabla hujawaamini kabisa.Urafiki wa kweli ni mbegu inayokua taratibu, na lazima ipitie na kustahimili dhoruba za matatizo kabla ya kupewa jina la urafiki.” George Washington (1732-1799),Rais wa kwanza wa Marekani.
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 02:26:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015