Jumamosi ya leo Mzee wa kazi Mohamed Juma Njuguna na nguvu mpya - TopicsExpress



          

Jumamosi ya leo Mzee wa kazi Mohamed Juma Njuguna na nguvu mpya Kaka Zema watakusafirisha moja kwa moja uwanjani St James Park kukutangazia mechi ya ligi kuu Uingereza kati ya wenyeji Newcastle united wakicheza na Chelsea itakayoanza saa kumi kasorobo alasiri kisha baadae saa mbili unusu usiku burudani safi la kabumbu baina ya Arsenal na Lierpool uwanjani Emirates utalipata kupitia kwake Mohamed J.N akishirikiana na beki wa kupanda na kushuka Geoffrey Mwamburi.USIKOSE KUSIKILIZA RADIO NUMBER 1(RADIO CITIZEN) UPATE UHONDO LIIIII.......VE
Posted on: Sat, 02 Nov 2013 10:13:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015