KATIKA PITAPITA YANGU NILIINGIA SEHEMU YA USHAURI NASAHA KWENDA - TopicsExpress



          

KATIKA PITAPITA YANGU NILIINGIA SEHEMU YA USHAURI NASAHA KWENDA KUCHEKI AFYA NILIYOYAKUTA HUKO NI MTIHANI NDUGU ZANGU... MAAMBUKUZI YA UKIMWI NI MAKUBWA SANA HASA KWA DADA ZETU...NASHANGAA NINI KINAWAPONZA KWA KWELI {TAMAA,UMASIKINI,KWENDA NA WAKATI AU NI TABIA TU} DOKTA ANANIAMBIA SIKU HIZI WANAWAKE WENGI WANAJITOKEZA KUPIMA KWA WINGI KISA NI NDOA LAKINI HALI WANAYOKUTANA NAYO NI HATARI ANANIAMBIA KUNA SIKU AMEPIMA WATU 55 AKASEMA 25 WALIKUWA NI WAATHIRIKA CHA KUSHANGAZA 18 WALIKUWA NI WANAWAKE NA WENGI WAO MABINTI WADOGO WADOGO DADA ZANGU KWANINI UJIHUKUMU MWENYEWE KWAHALI HII,NI KWELI KUNA WANAOPATA UKIMWI KWA BAATI MBAYA KUZALIWA AU KUJIKATA LAKINI KWA ASILIMIA THEMANINI NI UASHERATI.. MADHARA YAKE BAADA YA KUFA NIA KAMA YAFUATAYO “MZINIFU MWANAMKE NA MZINIFU MWANAMUME, MPIGENI KILA MMOJA KATIKA WAO MIJELEDI (bakora) MIA. WALA ISIWASHIKENI KWA AJILI YAO HURUMA KATIKA (kupitisha) HUKUMU HII YA ALLAH IKIWA NYINYI MNAMUAMINI ALLAH NA SIKU YA MWISHO. NA LISHUHUDIE ADHABU YAO (hii) KUNDI LA WAISLAMU”. [24:2] “NA WAHUKUMU BAINA YAO KWA YALE ALIYOYATEREMSHA ALLAH, WALA USIFUATE MATAMANIO YAO. NAWE JIHADHARI NAO WASIJE KUKUGEUZA NA BAADHI YA YALE ALIYOKUTEREMSHIA ALLAH. NA KAMA WAKIKENGEUKA, BASI JUA KWAMBA HAKIKA ALLAH ANATAKA KUWAFIKISHIA (adhabu) KWA SABABU YA BAADHI YA DHAMBI ZAO. NA BILA SHAKA WENGI KATIKA WATU NI MAASI. JE, WAO WANATAKA HUKUMU YA KIJAHILI? NA NANI ALIYE MWEMA ZAIDI KATIKA HUKUMU KULIKO ALLAH, (yanafahamika haya) KWA WATU WENYE AKILI”. [5:49-50] “Kila mwanadamu ni mtendaji mno wa makosa na bora ya wakosaji ni wale watubiao”. “Sema: Enyi waja Wangu mliojidhulumu nafsi zenu! Msikate tamaa na rehema ya Allaah; bila shaka Allaah Husamehe dhambi zote; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe na Mwingi wa kurehemu” (39: 53). “Na wale wasiomwomba mungu mwengine pamoja na Allaah, wala hawaui nafsi aliyoiharimisha Allaah isipokuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo atapata madhara. Atazidishiwa adhabu Siku ya Qiyaama, na atadumu humo kwa kufedheheka. Isipokuwa atakayetubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Allaah Atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Allaah ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. Na aliyetubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa Allaah” (25: 68 – 71). KWA HIYO NDUGU ZANGU NAOMBA TUTUBIE KWA ALLAH KUPITIA KUMI HILI LA PILI LA MAGHFIRAH KWANI ALLAH NI MWINGI WA HURUMA NA MWINGI WA KUSAMEHE...
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 08:15:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015