KLT# MAJONZI Miongoni mwa wale watoto sita waliopigwa - TopicsExpress



          

KLT# MAJONZI Miongoni mwa wale watoto sita waliopigwa risasi barabarani wakitoka madrasa siku ya vurugu za bomu katika mkutano wa kampeni wa CHADEMA katika viwanja vya Soweto pale Arusha ambapo kufikia jana walikuwa wawili wamefariki dunia ambao ni Amiri Ally miaka (7) na Ramadhani Juma (15), na wale mabinti wadogo ndugu Fatuma Jumanne na Sharifa Jumanne ambao imebidi kupelekwa Nairobi huku mtoto Fahad Jamal (7) ikishindikana kupelekwa Nairobi kutokana na hali yake kuwa mbaya sana na kuwekwa wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) leo hii amefariki Dunia na kutimiza idadi ya watoto watatu waliofariki kwa kupigwa risasi wakati wanatoka madrasa, INASIKITISHA NA INAUMA SANA kwani ni roho ambazo hazina hatia wala hazikuhusika na lolote masikini,
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 15:06:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015