KUELEKEA MWISHONI MWA WIKI YA MLIPA KODI... *Bado sera za ulipaji - TopicsExpress



          

KUELEKEA MWISHONI MWA WIKI YA MLIPA KODI... *Bado sera za ulipaji kodi haziendan na changamoto zilizopo. Hv kwann kulipa kodi iwe ni jukumu la wachache... Serikali inachelewa nn kuwatambua machinga, mama ntilie, makonda na wapiga debe wapewe leseni ili nao walipe kodi. *Hv kwann kuwa na hati za umiliki wa viwanja na leseni za makaz liwe jambo la hiyari ya mmiliki, na kwann ukiritimba umetawala upatikanaji wa hati miliki hizo miaka inaenda nyumba nyingi hazilipi kodi TRA mpo wapi.. *Kwann kuna tozo zisizo sababu wala maelezo yenye ukwel na usawa hapo bandarin mpaka nchi jiran znatushangaa. *Katika orodha ya nchi zenye mazingira mazur ya uwekezaji kidunia, Tanzania tumeshuka toka 139 na sasa tupo 146 huku ya kwanza ni Hong Kong, Rwanda (5), Uganda (15), Kenya (67) hatuoni aibu. *Nchi za wenzetu kodi ya mapato hulipwa kulingana na faida baada ya mauzo, hapa kodi hukadiriwa kulingana na jumla mauzo, tz mtaji unalipiwa kodi... tunakoelekea kodi itakuwa haibebeki. KWA MFUMO HUU NITAKWEPA KODI NIWEZAVYO. Kila la kher walipa kodi wazalendo.
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 07:16:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015