. .KUUVUMILIA UJANA WAKATI MWINGINE NI MTIHANI..(japokuw ujana ni - TopicsExpress



          

. .KUUVUMILIA UJANA WAKATI MWINGINE NI MTIHANI..(japokuw ujana ni wa kujivunia) Coz th body is full of emotional feelings, vijan weng tunapend kumcha mungu kwel kwel ila wakat mwingin tumejikut tukimcha mungu uku tunadondoka, ivyo ivyo hali inakuw ni ya kusimam na kupig hatua mbili kisha unadondok tena,kam vile mtot anaye anza kutembea..mwingine anawez sem uwenda nikiolew/nikioa nawez punguz chaleng za maish,swala linakuj uyo mke au mum ambay atakuw salam kweny ndoa napo haja jaliw kumpata na uwez kufosi mambo, bc inakuw tabu tupu,. vijan tunawakat mgumu wew! we acha tu,na huu ni mwez wa sita(winter season). mtu unajiretain lakin mambo yanakuw magum mpak unaona kichw kinatak kuweuka. LIFE IS FULL OF CHALLENG IN THS AGE. some things becom beyond ua control. kwel ujana maji ya moto,can we real keep on overcoming ths? hw can we handle ths dude? i hope umenisoma
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 09:07:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015