KWELI WANAWAKE WANA GHARAMA!! Kila kiungo chao kinahitaji - TopicsExpress



          

KWELI WANAWAKE WANA GHARAMA!! Kila kiungo chao kinahitaji fedha. HEBU CHEKI:- Nywele zinataka Dawa. Maskio yanahitaji Herini. Macho yanataka Wanja na Shadow! Pua inataka Kipini. Mdomo unataka Lipstick. Sura inataka Poda na Foundation. Shingo inataka Cheni. Matiti yanataka Sidiria. Mikono inataka bangili. Vidole vinataka Pete. Kiuno kinataka Shanga. Matako yanataka Chupi. Miguu inataka Hina na Viatu na Ninii inataka Always. Eish! Tutaweza Kweli?? Jameni serikali saidia
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 11:00:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015