Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Juzi - TopicsExpress



          

Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Juzi jamaa alienda kuposa maeneo ya kach akatakiwa alete vitu vifuatavyo: Kitanda futi 6 DVD player Kabati la nguo Friji Dressing table Rice cooker TV flat screen nchi 32 Pasi ya umeme ya sonny Laptop Blender Makochi Radio ya CD 3 Simu ya nokia tachi screen Jagi la umeme modo 8 Madafu 10 CD 30 za UAMSHO ikiwemo ya kutekwa amir Farid Bendera20 za uamsho Kopi ya hati ya muungano UROJO wa FORODHANI bakuli 7 Mchele wa basmat na 200,000/= za wazee. NAMBIE NDUGU YANGU TUTAOA KWELI KWA HALI HII
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 08:29:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015