Kama ni wewe ungefanyaje. Jamaa ni mpiga picha aliitwa na tajiri - TopicsExpress



          

Kama ni wewe ungefanyaje. Jamaa ni mpiga picha aliitwa na tajiri flan nyumbani ili akampige picha. Ila wakati anafika karibu na lile jengo akaona majambazi wanaficha hela kwenye maua. Akawaangalia baada ya wale majambaz kuondoka akaenda kuzchukua zile hela nakukimbilia kijjn kwao. Bila kumshirikisha mtu yeyote akampa baba yake elf hamsini na akaenda kujifungia ndan kuhesab kwa idad alipata milion themanin. Akatoka na kwenda shamba alipofika akachmba shimo chin ya mti mkubwa akazifukia zile hela. Wakati anaondoka akaupiga pcha ule mti na kurudi mjini. Wakat anaisafsha ile pcha akaona juu ya mti kulikuwa namtu anamuangalia. We ungefanyaje?
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 12:24:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015